Rais Mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete hakuwa nyuma jumanne ya April, 4 kuongozana na mke wake Salma Kikwete kwenda bungeni ambapo mke wake alikuwa akiapishwa kuwa mbunge wa Bunge la Tanzania.
Baada ya Salma Kikwete kuapishwa, Jakaya Kikwete ameandika ujumbe huu katika akaunti yake ya Twitter, “Leo asubuhi nimeshuhudia kiapo cha Mke wangu Mhe. Salma Rashid Kikwete kuwa Mbunge wa Kuteuliwa Bungeni Dodoma.Ni zamu yangu kumuunga mkono.”


Follow
Jakaya Kikwete ✔@jmkikweteLeo asubuhi nimeshuhudia kiapo cha Mke wangu Mhe. Salma Rashid Kikwete kuwa Mbunge wa Kuteuliwa Bungeni Dodoma.Ni zamu yangu kumuunga mkono.
9:48 AM - 4 Apr 2017
158158 Retweets
599599 likes
F
0 comments:
Post a Comment