Friday, May 12, 2017

Mwigizaji ambaye ni Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu ni miongoni mwa waliohudhuria party ya Meneja wa WCB Sallam SK ambayo ilikua inaruhusu watu waliovalia nguo za miaka ya 90 tu.
mtazame kwenye hii video hapa chini..


0 comments:

Post a Comment