Friday, May 26, 2017

Image may contain: fire
Hii ndio Bendera ya Jumuiya ya (LGBT) Wanaume wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia Moja(Mashoga) waliyoipitisha huko Marekani ili Mashoga wote waitumie,
Tayari katika Masoko ya Bidhaa Duniani zinapenyezwa Bidhaa kama Nguo na Mapambo yenye Mpangilio huu wa Rangi, hawa Mashoga wenyewe wanaita "Rainbow Revolution"....hivyo unaweza kuvaa au kujipamba bidhaa yao bila hata kujua kwamba unawakilisha Mashoga huku ukidhani labda ndio Fashion tu....Bidhaa na Bendera za hivi zimepigwa Marufuku Nchini Urusi,

0 comments:

Post a Comment