Thursday, May 11, 2017

Image may contain: 2 people, people sitting
KWI KWI KWIII HATA UKIENDA KWA SHETANI HAPA NI KATIBA TU!! NAFASI YA KUONGOZA CHAMA KWA AKILI ZAKO NO.

Na David Maphone

MWALIMU SEFU NDEVU CHAKAVU LEO USO KWA USO NA MTUHUMIWA WA MADAWA YA KULEVYA ASKOVU GWAJIMA.
"Ni rafiki yangu amenieleza masikitiko yake kuhusu mgogoro uliokuwepo CUF nitalifanyia kazi suala hilo nitatoa majibu"
Ni kauli ya Mchungaji wa Kanisa Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima baada ya mazungumzo yake na Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Maalimu Seif Sharifu Ahmadi.
Maalimu Sief alifika Ofisini Kwa Mchungaji Gwajima saa 10 kasoro, na kuanza mazungumzo yao yaliyochukua takribani saa moja.
walipomaliza mazungmzo hayo waandishi wa Habari walipotaka kujua undani wa mazungmoz hayo wote (Maalimu Seif na Gwajima) waligoma kueleza walichozungumza.
Maalimu Seif amesema kuwa yeye na Gwajima ni marafiki wa muda mrefu hivyo amezungumza na rafiki yake masuala mbalimbali yanayohusu taifa
Kumbe ni Marafiki wa siku nyingi....
Si jambo baya kwa Mwanasiasa kuwa na Rafiki kiongozi wa kidini.
Lakini Mbona Heshima ni mtu aliyekuwa anakanyaga sana Waislam sana kipindi cha Nyuma mpaka kufikia kusema Misikiti itakuwa Sunday School..Maalim alikuwa wapi Rafiki yake alipokuwa anasema Maneno haya au alikuwa anafurahia (maana marafiki wa siku nyingi hawa).
Lakini tumeshuhudia Gwajima akimtukana Kiongozi wa Roman catholic Muadhama Kadinal Pengo...Maalim seif sharif hamad alikuwa wapi asimkataze haya matusi au alikuwa anafurahia.
Hivi Babu kutangaza kuwa ni rafiki wa Gwajima tena wa siku nyingi anataka Waislam na Waroman na wapenda amani wa nchi hii tumueleweje??
TUNAKUSUBIRI KWA HAMU MZEE WA DUDE UROPOKE TU CHOCHOTE KUHUSU MWENYEKITI UONE SISI NI WATOFAUTI SANA.
#NaBado David Maphone katika ubora wake miaka 800

0 comments:

Post a Comment