Thursday, May 11, 2017

Image may contain: 1 person, standing
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Meneja wa Mwanamuziki maarufu Duniani Diamond Platnumz, yaani Sallam SK na ametayarisha sherehe maalum zitakazofanyika Hyatt Kempisk Kilimanjaro Hotel na ameamua kuzikumbuka enzi za zamani kwa maana ya washiriki wote wa Sherehe hizi wameombwa kwenda wamevaa kizamani kama hapo juu live!!

0 comments:

Post a Comment