Thursday, May 11, 2017


"YAANI NI KAZI JUU YA KAZI ....le mbebezz Super Mtindiz ..hapa Mjini maisha yamebana siku hizi hamna kuchagua kazi U know ....hahahaa .
..mambo ya kudanga hamna tena hapa mjini ....mambo yamekuwa sio mambo tena hapa mjini ....hahahaha....nyie Wabebez msichague kazi bana tusaidiane U know ..piga kazi Utaoga baadaye U know ....hahahaha ....Bampa to Bampa ..yaani KAZI JUU YA KAZI!" - le Mutuz Nation

0 comments:

Post a Comment