Posted by Williammalecela.com on Thursday, May 04, 2017
 |
| Huyu ndiye Mwanadada maarufu kwenye Mitandao ya Kijamii Tanzania kwa kazi yake kubwa ya kutukana Serikali na Viongozi akiwemo Rais, hivi karibuni alinyanga'nywa watoto wake 2 na Mahakama moja huko Marekani na kupewa aliyekuwa Mume wake wa zamani. Mahakama hiyo huko Los Angeles ilikubaliana na malalamiko ya baba wa watoto hao kuwa Mange hakuwa na uwezo wa kuwatunza watoto kutokana na kutokuwa na kazi na kushinda mitandaoni kila siku akitukana watu na Serikali. Hatua hiyo imempelekea kutangaza kuomba michango kwenye mitandao ya kijamii ili aweze kujikimu na maisha, kwani sasa hataweza tena kupata hela za misaada alizokuwa akizipata kutokana na kuwa na watoto hao. |
0 comments:
Post a Comment