Ni katika kukabiliana na changamoto za Pembejeo, Masoko na Bei za bidhaa au mazaoAsema lengo la serikali ni kuwa na ushirika wenye nguvu na unaochangia kujenga uchumi Amesema ushirika UNAKUFA pale upoendeshwa bila kufuata taratibu na sheria,ushirika usiokaguliwa hesabu zake , ushirika usiyo na mikutano na wanachama wake
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ameyasema leo wakati akifunga mafunzo YA kuwajengea uwezo viongozi wa vyama vya msingi wa zao la Tumbaku Wilaya YA Chunya

0 comments:
Post a Comment