Wednesday, May 31, 2017

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania(KKKT)Dayosisi ya Kaskazini
Kati,Solomon Masangwa akizumza katika sherehe ya uzinduzi wa hoteli yaEseriani Kata ya Levolosi jijini Arusha na kumpongeza mmiliki kwa kufugakisasa na kuwekeza kwa kutoa ajira na kuongeza huduma bora kwa wageniwanaofika Arusha.
Mkuu wa wilaya mstaafu,,Peter Toima akitoa salamu zake kwa wananchi walihudhuria.
Mkuuwa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizungumza katika sherehe hiyo,kulia niMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)mkoa wa Arusha,Michael LekuleLaizer.



Askofu
wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri
Tanzania(KKKT)Dayosisi ya Kaskazini Kati,Solomon Masangwa akikata utepe
kuashiria uzinduzi wa hoteli hiyo wanaoshuhudia kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha,Michael Lekule Laizer na Mkuu wa mkoa,Mrisho Gambo.



Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizindua hoteli ya Eserian ,kulia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)mkoa wa
Arusha,Michael Lekule Laizer.



Mmiliki
wa hoteli ya Eserian,Issaya Yassi(kulia)akimweleza Mkuu wa mkoa,Mrisho
Gamb(wa pili kushoto),Askofu Masangwa(kushoto) na Mwenyekiti CCM mkoa wa
Arusha,Michael Lekule Laizer namna alivyotumia mifugo kuwekeza kwenye nyumba ya wageni.



Mkuu
wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akiangalia mandhari ya hoteli ya Eserian
akiwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)mkoa wa
Arusha,Michael Lekule Laizer.



Mfanyabiashara
maarufu wa jijini Arusha,Philemon Mollel maarufu kwa jina la
Monaban(kushoto)akikabidhiwa tuzo maalumu na Mkuu wa mkoa wa
Arusha,Mrisho Gambo iliyotolewa na shirika la kidini World Mission
International kwa kutambua mchango kwa jamii.

0 comments:

Post a Comment