Thursday, June 8, 2017

WEMA SEPETU HAFAI KUA CHADEMA
.
Hivi karibuni kumekuwepo na taarifa za kuenea kwa sauti ya mwenyekiti wa Chadema FREEMAN MBOWE na msanii WEMA SEPETU sauti ambazo zilinaswa kupitia mawasiliano ya simu zikiashiria kuwepo kwa mahusiano ya kimapenzi.


.
Kiukweli Hizi sauti sio za kutengeneza ni mawasiliano halali yaliyokamatwa kupitia Application iitwayo TELBOX TANZANIA

.
Hakuna asiejua kama hivi sasa kuna Application ipo PLAYSTORE inaitwa TELBOX TANZANIA na kazi kubwa ya hii Application ni kunasa mawasiliano ya simu ya mtu yoyote. Mfano wewe unataka kufuatilia mawasiliano ya simu ya mtu yoyote ukiingia PLAYSTORE na kuitafuta hii Application inaitwa TELBOX TANZANIA ni rahisi kunasa mawasiliano ya mtu yoyote unaetaka kumfuatilia.

.
Hii Application sasa ndio iliyotumika kukamata haya mawasiliano ya WEMA SEPETU na FREEMAN MBOWE.

. #CHANZO: Tusiwape lawama vyama pinzani kwa madai kua wanataka kuichafua Chadema, chanzo cha kukamatwa kwa hizi sauti ni WEMA SEPETU ambapo namba yake ya simu iliunganishwa kwenye hiyo Application na mtu wake wa karibu ndipo akaanza kufuatiliwa hadi kukamatwa kwa mazungumzo yao.
.
Hakuna ubaya watu kuwa wapenzi tatizo ni mambo yao ya siri kuwekwa hadharani inaleta sifa mbaya kwa viongozi wa chama. Tumezoea kumuona WEMA katika skendo chafu hivyo nahisi kuwepo kwake Chadema kutaleta skendo nyingi zisizo na maana kupelekea chama kuingia katika kashfa zisizoendana na maadili katika Jamii

.
HUU NI MTAZAMO WANGU.
Source:-  http://thechoicetz.com/alicho-andika-halima-mdee-kuhusu-wema-na-sakata-la-mbowe/

0 comments:

Post a Comment