Friday, June 9, 2017


Kila kukicha kuna tetesi za wadada wa mujini mfano irene(Queen video wimbo wa kwetu),hamisa mabeto(queen video wimbo wa salome),penny(ex girlfriend wa dai) kubeba ujauzito wa msanii diamond ila cha kushangaza ni mwanamke mmoja pekee aliyetangaza ana mimba ya dai na akajifungua mara mbili.
Ila wadada wengine mimba zao sijui huwa wanazipeleka wapi.

kwa sasa insta kumechafuka kwa tetesi,hadi kufikia january matokeo ya mimba hizo yatakua hadharani Ubuyu ulionifikia mda huu ata sijaamini ila kama ni kweli basi huenda ndomana diamond na zari wanapigana vijembe mtandaoni kila kukicha naomba niseme tu mapema ili yakivuma mje mnione mbea kweli kweli maana mm ni zaidi ata ya shilawadu sasa inasemekana kuwa eti,

Penny kale ka EX ka chibu miaka ile ya nyuma, kumbe bwana yeye na chibu walikuwa wanayaendeleza chini kwa chini na apa navyokwambia penny anakibendi cha mondi bado sijajua ni cha miezi mingapi 😂ila penny anaujauzito wa diamond 😲 maskini diamond sijui ata anaangaika nini ona sasa keshaikosa miela yote alioiacha ivan maaana sidhani kama zari ataweza kuvumilia ili naivi saivi wanamuita zari the don jina nililombatiza mie mwenyewe basi kama naona vile movie litaenda.

0 comments:

Post a Comment