Riyama amesema yeye binafsi haoni aibu wala hana hofu kuolewa na mwanaume ambaye yeye amemzidi umri zaidi ya miaka saba.
Kwa upande wake Leo Mysterio ameeleza wakati anataka kumuoa Riyama alisemwa sana na kukosolewa vikali. “Eti kwa sababu umri ni mkubwa lakini kwa sababu sisi ni watu wa dini haikua kazi kumaliza swala la ndoa. Niliwahi kutoa wimbo maalum kwa ajili ya Riyama na ilinitoka moyoni kabisa kitu ambacho kiliwashangaza wengi,” amesema Leo Mysterio.
0 comments:
Post a Comment