Harmonize amesema Sarah ni mke wake kwasasa na wameenda Miami kwaajili ya kurefresh mind tu, ambako ndipo yalipo makazi ya familia ya mpenzi wake . . . “Right now Sarah, she is my wife so tulikuwa Ocean road Marekani sehemu moja panaitwa Miami mtaa unaita Ocean road so tulikuwa tuna drive, tuna have fun. so yeye alitakiwa aje uku kulifresh mind kwasababu hajaja huku muda mrefu halafu kuna familia yake so nikaja nae” alisema Harmonize .
0 comments:
Post a Comment