Muigizaji wa filamu mwenye asili ya Uingereza, Glenne Headly amefariki dunia siku ya juzi, huku taarifa za kifo chake ikitangazwa siku ya juzi jioni
Marehemu alikuwa na miaka 63 na amejipatia umaarufu katika filamu ya “The Night Of” hata hivyo famila yake akiwemo mumewe, Byron na mtoto wao Stirling, haijasema ni lini itafanya mipango ya mazishi na mpaka sasa kifo cha Headly hakijafahamika kimesababishwa na nini.
Mastaa kadhaa akiwemo mtu wakaribu aliyekuwa akifanya kazi na marehemu, Josh Hutcherson alipost kupitia Instagram yake kuhusiana na kifo hicho.
“I only knew the talented, empathetic, loving, beautiful Glenne Headly for a short time. She was powerful and strong and hilarious. Her eyes brought to life so many amazing characters over the years and her love brought to life a beautiful family. I’m gonna miss her presence, her smile, and the way she made me feel like her son before, between, and after they called action and cut. Grab onto those who make you feel loved. My heart is broken today and I can only imagine what those closest to her are going through. My broken heart goes out to all of you as well. This is a photo of my home. Kentucky. I love my family and friends so much. I hope you all feel it. With lead hearts we are going to celebrate the irreplaceable Glenne Headly. LOVE.”
0 comments:
Post a Comment