Posted by Williammalecela.com on Thursday, June 15, 2017

 |
Barrick wanaendesha Migodi Australia, Mali, Papua Guinea, Canada, USA, Argentina, Dominica, Zambia,Saudi Arabia, Chile n.k
lakini hapa kwa JPM wame-surrender kichwa chini Mikono Nyuma, Tajiri
huyu angewezaje kupumzika jijini Ontario Canada ilhali wanaharakati na
wanasiasa nchini mwake nao wameameanza kuishutumu Barrick na Acacia kwa
"hujuma" na "Wizi" nchini Tanzania?....je angewezaje kukaa anywe
Rustenberg Wine wakati Hisa za kampuni zimeporomoka katika Masoko kama
LSE,NYSE,Australia nk na kuathiri Migodi yote inayomuhusu Duniani kwa
ajili tu ya Janja janja na wizi uliyofanyika Shinyanga - Tanzania?. |
0 comments:
Post a Comment