Kubadili
gia angani kumewapotezea CDM Confidence, legitimacy na Guts za kukemea
tena yale waliyokemea zamani,...Sioni tena wakifanya Siasa ... bali sasa
Wanafanya Debate za watoto "Education vs Money"...Yaani CCM ikiwa
"Money" wenyewe "Education" na CCM akija "Education" wanarudi kwenye
"Money".
0 comments:
Post a Comment