Sunday, July 23, 2017

July 22 2017 ilikua siku ya Castle lite Unlocks ambapo Dar es salaam ilihudumiwa kiburudani na mastaa wa muziki akiwemo Future kutoka
Marekani, Nyovest wa South Africa, Vanessa Mdee, WEUSI, Diamond na Navy Kenzo wa Tanzania…. hii video hapa chini itakuonyesha Future alichofanya

0 comments:

Post a Comment