Burudani ilikuwepo Dar es salaam usiku wa July 22 2017 kwenye tamasha la CASTLE LITE UNLOCKS ambapo Mastaa wa muziki tuliozoea kuwaona kwenye video tuliwaona live akiwemo Future kutoka Marekani, Cassper Nyovest wa South Africa, Navy Kenzo, Diamond, Vanessa Mdee na WEUSI kutoka Tanzania.Kuna hizi picha nimekukusanyia unaweza kujionea kilivyohapen Leaders Club lakini ukihitaji kuona video ya Future unaweza kutazama chini kabisa kwenye hii post, video za wengine zitakufikia soon.
Navy Kenzo
Vanessa Mdee
Navy Kenzo kwenye stage na kichwa kingine kwenye label ya The Industry, Rosaree
Future
Future
Diamond Platnumz na crew yake
Rapper Cassper Nyovest wa South Africa
T
0 comments:
Post a Comment