Monday, July 17, 2017

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amefika kuhani msiba nyumbani kwa Waziri wa Habari, Dr. Harisson Mwakyembe aliyefiwa na mke wake. Nimezipata hizi picha 13 kutoka Kunduchi nyumbani kwa Waziri Mwakyembe ambako msiba umewekwa.

0 comments:

Post a Comment