Posted by Williammalecela.com on Monday, July 17, 2017
Mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz,Mameneja wake Said Fella na Babu Taleni miongoni mwa mastaa wa Bongo waliofika nyumbani kwa Waziri wa Habari Dr. Mwakyembe kutoa pole kufuatia kifo cha Mke wake Linah George.
0 comments:
Post a Comment