Sunday, July 16, 2017

Image may contain: 9 people, people smiling, people standingMkuu wa Mkoa wa Mbeya leo amefungua mkutano wa kufunga mradi wa Respond uliotekelezwa na shirika la Endegerheath chini YA ufadhili wa shirika la USAID mkutano utajadili mafanikio ya mradi ulivyotekelezwa kwa miaka 5 pamoja na changamoto zake - Mkuu wa Mkoa ameeleza kufurahishwa na mafanikio YA mradi huo ktk Mikoa YA mbeya , songwe, Rukwa na KataviImage may contain: 1 person, standing and suit
- Vifo vya mama na mtoto vimeendelea kupungua maeneo ambako mradi huu umetekelezwa- Faida za uzazi wa mpango ni pamoja mama kupata muda wa kunyonyesha, mume na mke kupata muda wa kutosha kulea watoto mpaka Image may contain: 9 people, people smiling, people standingwanakua na kuwa na familia ambayo una uwezo wa kuihudumia 
Amewataka watalaam kuhamasisha jamii kuelewa faida za uzazi wa mpangoImage may contain: 9 people, people smiling, people standing

0 comments:

Post a Comment