Sunday, July 16, 2017

Image may contain: 2 people, people smilingMkuu wa Mkoa wa Mbeya amempongeza Naibu Spika Dr Tulia kwa kujitoa kwake katika kuchangia shughuli za maendeleo katika Mkoa wa Mbeya
- Ameyasema hayo ktk Shule YA sekondari Loleza wakati wa hafla YA kukabidhi Mabweni na vyoo kwa Waziri wa elimu prof NdalichakoImage may contain: 4 people, people smiling, people standing
- Amempongeza Dr Tukia kwa kusaidia ukarabati wa mabweni, ushiriki wa shughuli mbalimbali za maendeleo,kuinua michezo na utamaduni kwa kuandaa mabonanza mbalimbaliImage may contain: 2 people, people smiling, people sitting and people standing
Aidha Amempongeza mdau mwingine wa maendeleo ndg Ndele Mwaiselela kwa kujenga darasa moja na computer 9 kwa ajili ya shule YA msingi IyelaImage may contain: one or more people, crowd and outdoorImage may contain: 3 people, people sitting and indoor

0 comments:

Post a Comment