Bongo Fleva super staa Diamond Platnumz ametumia Instagram yake kuusifia wimbo mpya wa msanii wake #LavaLava nakusema akisikia wimbo wake anatakuwa kuwa kitandani akifanya balah
Diamond ameandika “Nikiskia hii Nyimbo natamani niwezangu Uchi kitandani na Mupenzi, halaf nje Mvua inanyeshaYani inshort ni Moja ya Nyimbo ambazo nazitumia sana Kufanyia Balaa Kitandani DEDE ”
0 comments:
Post a Comment