Posted by Williammalecela.com on Friday, August 04, 2017
 |
Ndege mpya ya Askofu Gwajima aina ya Gulfstream N60983 (Business jet).
Ni ndege ya kisasa na ya kifahari iliyobuniwa nchini Marekani yenye
uwezo wa kubeba abiria 8 hadi 10. Ina speed hadi kilomita 900 kwa saa
(mara mbili ya Bombadier zetu). Ina uwezo wa kwenda hadi umbali wa
kilomita 8,000 bila kuongeza mafuta (sawa na kutoka Dar hadi Rio De
Janairo Brazil). Ina nafasi inayoweza kutumiwa kama ofisi, dining,
veranda etc. Askofu Gwajima amesema ndege hii itatumika kueneza injili
ya Kristo sehemu mbalimbali duniani. |
0 comments:
Post a Comment