![]() |
| Baada ya muungano wa NASA na aliyekuwa Mgombea urais kupitia Muungano huo Raila Odinga kufungua kesi mahakamani. Kinachosubiliwa na wengi Ni kuona na kusikiliza mnyukano Wa mawakili wakishindana kwa hoja ,ushahidi na kuhakikisha kila upande una shinda ,Tukio hili huko Kenya limepewa jina maalumu kama "#Battle_of_the_Lawyers" Ifuatayo Ni orodha ya mawakili watakowakilisha kila upande kwa maana ya NASA,JUBILEE na time ya uchaguzi na mipaka ya Kenya IEBC NASA 1. MUTULA KILONZO JR 2. JAMES ORENGO 3. GEORGE ORARO 4. PAUL MWANGI 5. KETHI KILONZO 6. WILLIS OTIENO JUBILEE 1.FRED NGATIA 2. KATWA KIGEN 3. KITHURE KINDIKI 4. MOHAMED NYAOGA IEBC 1. AHMEDNASIR ABDULAHI 2. PAUL NYAMODI 3. PAUL MUITE 4. KAMAU KARORI |
Friday, August 18, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment