Posted by Williammalecela.com on Friday, August 18, 2017
Mwili wa mtu asiyejulikana
umekutwa kwenye fukwe za Kawe ukiwa umefungwa kwenye kiroba Asubuhi Hii
na Hadi sasa haujatambulika kuwa ni mwanaume au mwanamke.
Mashuhuda wanasema kuwa wavuvi wameusogeza ufukweni hapo, na kuucha,
Jeshi la Polisi lina Taarifa na Wapo Njiani Kuelekea Eneo la Tukio.
Chanzo: Times Fm
0 comments:
Post a Comment