Wednesday, August 9, 2017

Image may contain: text


LIVE STRAIGHT TALK:- Je tuendelee kuwaamini Wapinzani Tanzania? Hizi ni kauli mbali mbali zilizowahi kutolewa na Chadema huko nyuma
na mabadiliko ya kauli hizo hizo na hao hao Chadema sasa....kwa mfano:1. FACT ...walisema "Tanzania ni lazima tupate Rais anayeweza kuiga Rwanda, ambayo ni nchi ndogo rasilimali kiduchu lakini wametuzidi maendeleo kwa mbali sana" .....Leo wanasema..."NI AIBU KWA RAIS MAGUFULI KUIGA RWANDA NCHI AMBAYO IMEPIGANA VITA KWA MUDA MREFU SANA".....FACT ..walisema "Rais JK ameharibu kabisa mahusiano mazuri ya Tanzania na Rwanda na amejenga uadui usiokuwa na tija kwa Taifa letu"....Leo wanasema ...."URAFIKI WA RAIS MAGUFULI NA KAGAME NI HATARI SANA KWA DEMOKRASIA YA TANZANIA" ....FACT walisema "Vascodagama ndilo jina la Rais JK maana anasafiri sana ni kama Fastjet" ...Leo wanasema "KUNA HAJA YA RAIS MAGUFULI KUSAFIRI SAFIRI NJE ILI TAIFA LETU LIPATE FORUMS ZA KUBADILISHANA MAWAZO NA WAKUU WENZAKE JINSI YA KUENDESHA TAIFA" ....FACT walisema .."Tanzania tunahitaji Rais Dikteta bila hivyo hili Taifa haliwezi kusonga mbele" ...Leo wanasema "TUNANYIMWA UHURU WA KUJIELEZA HATUNA DEMOKRASIA TENA HUYU RAIS MAGUFULI HAFAI NI DIKTETA" ....Walisema "Rais Kikwete ni dhaifu sana" ....Leo wanasema "NI BORA ENZI ZA UTAWALA WA KIKWETE MAISHA YALIKUWA NAFUU SANA, KULIKO SASA" ...hahahahaha now can we take Wapinzani seriously with all these FACTS za maneno yao wenyewe? ..FACT .kuna wakati walisema "CUF ni mashoga" ....baadaye wakaungana nao kuanzisha UKAWA ...walisema "Lowasa ni Fisadi" baadaye wakasema ushahidi upo wapi mbona CCM hawajamfikisha mahakamani ....I mean binadam hasa Mwanaume anatakiwa kuheshimika kwa sababu ya kuwa na msimamo kwenye hili la Msimamo Chadema mmetuangusha sana hili Taifa cause the Million Dollar Question here ni Can we still trust Chadema? for what?...MUNGU AIBARIKI TANZANIA! - le Mutuz Nation

0 comments:

Post a Comment