Wednesday, August 9, 2017

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR).Majadiliano hayo yamehusu masuala ya uhifadhi wakimbizi na suluhisho la kudumu la wakimbizi walioko katika Kambi mbalimbali nchini.Kikao hicho kimefanyika leo,jijini Dar es Salaam
Makamu Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR), Volker Turk, akichangia hoja wakati wa Kikao cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na Shirika hilo.Majadiliano hayo yamehusu masuala ya uhifadhi wa wakimbizi na suluhisho la kudumu la wakimbizi walioko katika Kambi mbalimbali nchini.Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba.Kikao hicho kimefanyika leo,jijini Dar es Salaam
Mwakilishi waShirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR) nchini Tanzania, Chansa Kapaya, akichangiahojawakati waKikao cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na Shirika hilo .Majadiliano hayo yamehusu masuala ya uhifadhi wa wakimbizi na suluhisho la kudumu la wakimbizi walioko katika Kambi mbalimbali nchini.Kushoto niMakamu Kamishna Mkuu wa Shirika hilo, Volker Turk.Kikao hicho kimefanyika leo,jijini Dar es Salaam
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Hassan Simba Yahaya,akizungumza wakati wa Kikao cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR).Majadiliano hayo yamehusu masuala ya uhifadhi wa wakimbizi na suluhisho la kudumu la wakimbizi walioko katika Kambi mbalimbali nchini.Kikao hicho kimefanyika leo,jijini Dar es Salaam
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Nsato Marijani, akichangiahojawakati waKikao cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na Shirika hilo. Majadiliano hayo yamehusu masuala ya uhifadhi wakimbizi na suluhisho la kudumu la wakimbizi walioko katika Kambi mbalimbali nchini..Kikao hicho kimefanyika leo,jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa Mpango wa Kuwahudumia wakimbizi,Dkt. John Jingu,akizungumza wakati wa Kikao cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR).Majadiliano hayo yamehusu masuala ya wakimbizi na suluhisho la kudumu la wakimbizi walioko katika Kambi mbalimbali nchini.Kushoto ni Mkurugenzi wa CSFM, Prof. Bonaventure Rutinwa. Kikao hicho kimefanyika leo,jijini Dar es Salaam
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba (wanne kulia waliokaa), Makamu Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR), Volker Turk(watano kulia waliokaa), wakiwa katika picha ya pamoja na washriki wa Kikao cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR).Majadiliano hayo yamehusu masuala ya uhifadhi wakimbizi na suluhisho la kudumu la wakimbizi walioko katika Kambi mbalimbali nchini.Kikao hicho kimefanyika leo,jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment