Friday, August 4, 2017

Super Bilioneaz Yusuph Manji aliyekuwa Rais wa Yanga, leo alipofikishwa Mahakamani na kurudishwa tena rumande baada ya kesi yake kuahirishwa mpaka wiki ijayo. Manji anatuhumiwa kwa makosa mbali mbali na Jmahuri.

0 comments:

Post a Comment