"Jana
nilifanya ziara katika kijiji cha Chamae , pamoja na mambo mengine pia
nilienda kutatua mgogoro wa muda mrefu baina ya serekali ya kijiji na
mzabuni wa maji. Nilifanya kikao na serekali ya kijiji akiwemo mzabuni.
Mzabuni huyo alikua alifanya kazi bila mkataba wowote na kuto lipa
asilimia yoyote kwa kijiji. Tumefanikiwa kufikia muafaka na mzabuni kukubali kutoa asilimia 45 ya faida kwenye account ya maji ya kijiji. Hapa Kazi Tu"
0 comments:
Post a Comment