Posted by Williammalecela.com on Monday, August 21, 2017
MKUU WA MKOA AWAFARIJI WAHANGA WA SOKO LA SIDO NA KUHAIDI KUTOA TAARIFA
YA TUME YA UCHUNGUZI YA KUUNGUA SOKO LA SIDO KESHO KUTWA TREHE 23
/8/2017 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla leo ameongea na WAHANGA
wa soko la Sido na kuwahaidi kuwa kamati YA uchunguzi inakamilisha kazi
na taarifa itawekwa wazi tarehe 23/8/2017 Pamoja na kuwapa pole
amewashukuru wananchi na uongozi wa soko kwa ushirikiano wakioutoa kwa
tume na kwamba chanzo cha Moto kitawekwa wazi na hatma YA wahanga
itawekwa wazi siku hiyo Amewaomba wananchi kuwa watulivu katika
kipindi hiki kigumu ambacho idadi kubwa YA WAHANGA wamepoteza MALI
nyingi kufuatia janga KA moto
0 comments:
Post a Comment