Posted by Williammalecela.com on Friday, August 18, 2017
 |
"Leo
nimetimiza mwaka mmoja toka niteuliwe kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na
Mhe Rais Dr John Joseph Pombe Magufuli.
Kipindi hiki Cha mwaka mmoja
nimetembelea Wilaya na Tarafa zote. Nimetembelea Vijiji na kata kadhaa
kuongea kusikiliza na kutatua kero za wananchi wenzangu. Kuanzia mwezi
Sept 2017 naanza kusukuma masuala ya kimkakati Mkoani Arusha! Mimi na
wenzangu tutatoa kipaumbele mahsusi kwenye Elimu, Utalii, Viwanda ,
Uchumi na nk.
Namshukuru Mungu, Mhe Rais Magufuli, wazazi wangu,
Mke wangu (watoto wetu)na wananchi wenzangu wa Arusha na wanzania kwa
ujumla!
Karibuni kwa ushauri pia wakati tunaenda kuanza mwaka mwingine!"
|
0 comments:
Post a Comment