Wednesday, August 9, 2017

Image may contain: 7 people, people smiling, people standing
MBEYA YAZINDUA MKAKATI WA KUBORESHA ELIMU
-Mkuu wa mkoa amezindua mkakati wa kuboresha elimu ktk Mkoa wa mbeya sambamba na kuongeza ufaulu ktk Shule za msingi na sekondari
- Mkakati huo umehusisha maafisa elimu wa wilaya, wakuu wa Shule, wenyeviti wa bodi na waratibu elimu kata


- Ameelekeza kila Mtendaji ktk sekta YA elimu awe na mpango kazi na kutekekeza na walimu wazingatie ratiba YA ufundishaji
- Amezitaka bodi za shule kuwa kiungo na wananchi, kuthibiti nidhamu mashuleni
- Waratibu Elimu na watendaji ngazi zote wahamasishe jamii kuboresha miundombinu YA shule ikiwemo madarasa, hostel, vyoo na nyumba za walimu na wazazi waone umuhimu wa wanafunzi kupata chakula shule
- wakurugenzi na maafisa elimu washughulikie madai YA walimu na kuweka vivutio kwa walimu ikiwemo motisha kwa watakaofaulisha vizuri.
Image may contain: one or more people
Image may contain: 2 people, people sitting and crowd

0 comments:

Post a Comment