Posted by Williammalecela.com on Tuesday, August 01, 2017
 |
LIVE
STRAIGHT TALK:-The Art of Insanity FACT is: Zitto Kabwe alifukuzwa
ndani ya Chadema na Baba Mkwe alituaminisha watanzania kuwa Zitto ni
Msaliti na kwamba hastahili kushika nafasi yoyote Upinzani.
.. na
Mwenyekiti huko akasema kuwa Zitto anashirikiana na Serikali na CCM kuihujumu CHADEMA akitoa
mfano wa Waraka wa Siri wa Zitto Kabwe....FACT: Mwaka 2004, Mwenyekiti
Chadema alifanya marekebisho ya Katiba ya CHADEMA kinyemela kuondoa
ukomo wa uongozi ili awe Mwenyekiti wa kudumu, sifa mojawapo yakiongozi dikteta. Hadi Leo hii kila kiongozi anayetaka kugombea uenyekiti wa CHADEMA anafukuzwa uanachama kamailivyotokea kwa ZITTO KABWE, Kitila Mkumbo, na Samson Mwigamba ambaye alipigwa sana .... Je Mh Tundu Lissu hiyo ni demokrasia pana ?
FACT: Wote tulijionea Mchakato wa kumpata mgombea wa UKAWA ulioacha
majeraha yasiyopona mpaka Dr. Slaa kuachia nafasi ya Katibu Mkuu CHADEMA
na Prof Lipumba kuachia nafasi ya Mwenyekiti wa CUF... Hakukuwa na
ushindani wowote ndani ya CHAMA wala ndani ya UKAWA ulikuwa ni udikteta wa
CHADEMA kumteua Lowasa kuwa mgombea Urais tena akiwa mwanachama wa
chama hicho kwa siku zisizozidi 10 tu....hatukumsikia Tundu Lissu na
UKUTA WAKE FEKI... Mwaka 1967 Mwl Nyerere alisema "Udikteta
haufanywi na kiongozi wa Serikali tu. Udikteta unaweza kufanywa na mtu
au kikundi cha watu nje ya Serikali".....Kuna kikundi au mtu mmoja ndani
ya Chadema ambaye huamua anayotaka na akitokea mtu mwenye maoni tofauti
huitwa msaliti kama Mh Zitto, Mh Kitila Mkumbo, Mh Kafulila na ni huyo
huyo aliyeamua kumpokea Lowassa.... Lakini hayo yote hayajamkasirisha
Lissu na hakuona sababu ya kuyapigania.... hivi kwanini Lissu hatoi
taarifa Polisi ya kufanya maandamano ya kupinga uonevu na kudai haki na
demokrasia ndani ya Chadema?.... Kwa nini Lissu haondoi boriti kwenye
Ukawa kwanza na ndipo atuonyeshe fulana yake iliyoandikwa ukuta
?...Demokrasia ipi anayoidai Lissu wakati demokrasia ndani ya chama
chake ni zero? ... eti Lissu ni msomi anayeongozwa na Form Six! I mean
the guy is Super Bogus cause huwezi kupigania Demokrasia nje ya Chama
chako wakati kwenye Chama chako wakubwa wakikosolewa wanawafukuza
waliowakosoa kama walivyomfanyia Zitto...UKUTA my foot! - le Mutuz Nation |
0 comments:
Post a Comment