Posted by Williammalecela.com on Friday, August 04, 2017
 |
| Mashabiki
wa PSG wakipanga foleni kununua jezi yanamba atakayoitumia Neymer
kwenye club yao nahisi pesa yakuuza jezi na pesa ya kiingilio siku
wanamtambulisha itaweza kurudisha kiasi Fulani cha pesa waliotumia
kumleta PSG hapo club zetu za Tanzania hasa Yanga Simba name Azam tupate
some toka kwa wenzetu tusikalie majungu name midomo mirefu ya kuongea
isiyokuwa name Tija na maendeleo kwenye soka. |
0 comments:
Post a Comment