Rais wa Mahakama Kuu ya Kenya (Supreme Court), Jaji David Maraga
anasemekana kukataa kiasi cha Kshs. 500,000,000 zilizowekwa kwenye
akaunti yake ya benki ya KCB Alhamisi mchana.
Kwa mujibu wa Makao makuu ya KCB yaliyopo KENCOM house Nairobi,
akaunti ya Dr. Maraga ilipokea pesa hizo saa tisa mchana kutoka kwa mtu
asiyejulikana ambaye kwa mujibu wa Jaji huyo ana lengo la kumchafua yeye
na mahakama.
Meneja wa tawi wa KCB, Bw. Kamau Ndung’u amesema Bwana Maraga
ametaka pesa hizo zirudishwe zilipotoka kwani hakutegemea pesa kutoka
kokote na wao kama benki watafanya hivyo mara moja na pia watajitahidi
kumpata mtu aliyeweka pesa hizo ili kuweka mambo sawa na wazi.
The President of Supreme court in Kenya, Justice David Maraga is
said to have rejected Kshs.500,000,000 deposited in his Kenya Commercial
Bank account on Thursday afternoon.
According to KCB headquarters at KENCOM house, Nairobi. DR.Maraga’s
account received Kshs.500m at 3:14pm from unknown depositor who
according to CJ wanted to taint his image and that of the court.
In a statement delivered by KCB Executive branch manager Mr.Kamau
Ndung’u, Maraga refused the money and ordered the bank to reverse the
transaction claiming that he did not expect any money from any quarters.
“We have reached our client Dr.Maraga and its clear he did not
expect any money from anywhere. He has requested the bank to do a
reverse and we are not going to take time.” said Mr.Kamau
“Our client is bitter with it and the bank is going to produce the
depositor in due course for purpose of clarity.” Added Mr.Kamau who
spoke to our reporters hours after the news hit on social media.
0 comments:
Post a Comment