Wednesday, September 6, 2017

Jana September 5 2017 wabunge wapya wa CUF waliapishwa bungeni, sasa leo upande wa Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif wamekutana na wanahabari kwa ajili ya kutoa tamko lao kuhusu kuapishwa kwa wabunge hao. 

0 comments:

Post a Comment