Wednesday, September 6, 2017

Image may contain: one or more people and beard
Mwenyekiti wa Chama cha CHAUMA ambaye pia ni mwanasheria kitaaluma na wakili wa mahakama kuu, Ndugu Hashim Rungwe anashikiliwa na Jeshi la Polisi Dar Es Salaam, kwa tuhuma za kugushi nyaraka.

0 comments:

Post a Comment