Tuesday, September 5, 2017


ARUSHA: Watoto 2 kati 4 ya waliotekwa wamepatikana wakiwa wamefariki dunia katika shimo la choo ambalo bado halijaanza kutumika.




Inadaiwa kuwa mtekaji aliwatumbukiza ndani ya shimo hilo wakiwa hai kabla ya kuondoka na kuelekea Geita ambapo alikamatwa na kusema walipo watoto hao.

0 comments:

Post a Comment