Tuesday, September 5, 2017


"Just met my Brother Paul Makonda.Rc Dar .
Nikiwa Njiani kuelekea China.

This Young man is talented and siku nimepata ukweli juu yake kuhusu kusingiziwa kwa magari na mdudu mengi moyo wangu uliumia na nikamwomba Mungu anipe kuusafisha moyo wangu na kunisamehe maana hakika niliaminishwa uongo.

God Protect you dear brother.Hakika Mungu wetu sio mwongo.


Bwana wa utukufu akutunze Rc Makonda"

0 comments:

Post a Comment