Posted by Williammalecela.com on Monday, September 04, 2017
DODOMA:
Ofisi ya Bunge imetangaza kuanza
kwa Mkutano wake wa 8 siku ya kesho
utakaoketi kwa muda wa wiki 2 kujadili masuala kadhaa ikiwemo miswada 3
ya Serikali.
Aidha, wabunge 7 wateule wa Chama cha Wananchi (CUF) watakula kiapo cha uaminifu na kutakuwa na kipindi cha maswali na majibu.
0 comments:
Post a Comment