![]() |
| Katibu Mkuu wa Chadema akizungumza na Media kuhusu kupigwa risasi kwa Mbunge wa Chadema Tundu Lissu, amesema kwamba Lissu anatibiwa na Madaktari bingwa na haruhusiwi mtu yoyote kuingia kumuona na kwamba Chadema itakuwa ikiwafahamisha wananchi kinachoendelea huko Hospitalini Dodoma. |
Thursday, September 7, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment