Monday, September 4, 2017

Kampuni ya Acacia imetangaza lengo lake la
kupunguza shughuli za uendeshaji/uzalishaji katika mgodi wa Bulyanhulu.
- Uamuzi huu umetokana na upungufu wa mzunguko wa pesa uliosababishwa na zuio la usafirishaji wa makinikia kwenda nje ya nchi na mazingira ya uendeshaji kuwa magumu.

0 comments:

Post a Comment