Monday, September 4, 2017

*LEO NDIYO LEO,ASUBUHI HII MAMBO YANAANZA SINZA*

*HAKUNA KAMA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO*

Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo,itazindua Huduma ya *Matibabu ya bure kwa wazee wapatao 7,299,Watapatiwa vitambulisho vyao katika awamu ya kwanza,*
siku ya jumatatu terehe 04 sept 2017,viwanja vya TIP SINZA saa tatu asubuhi.

*Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Afya,maendeleo ya jamii, jinsia na watoto, Mheshimiwa Ummy Mwalimu*

Njooni tuweke historia kwapamoja na rekodi hii nzuri katika Tanzania,ukiachilia sera za Afya na Ilani za vyama,UBUNGO itakuwa Halamshauri ya Kwanza kutoa huduma hii kwa vitendo.

*Wazee watapimwa bureeee*
*Watatibiwa bureeeee*

0 comments:

Post a Comment