Saturday, September 9, 2017

Don Williams enzi za uhai wake
Mwanamuziki nyota wa nyimbo za mtindo wa Country kutoka Marekani jimbo la Texas Don Williams amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi, 
Williams alianza kuimba nyimbo akiwa mwanamuziki wa kujitegemea mnamo mwaka 1971, na alitamba na nyimbo zake zilizovuma zaidi ni pamoja na Gypsy Woman na Tulsa Time.

0 comments:

Post a Comment