Tuesday, October 28, 2014

@LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!:- Kwanza alikuwa rafiki wa karibu sana na Marehemu Mdogo wangu Ippy, and then we became close Friends and now ni kama ndugu I know him na ninawajua Mke na watoto wake kwa karibu sana, ninasema hivi kama ni kweli Kinjekitile Mwiru anauza MADAWA YA KULEVYA basi na mimi rafiki wake wa karibu nitakuwa pia ninashiriki naye kwenye hiyo biashara so siku ya kukamatwa kwake please wanaohusika waanza na mimi. Binadam anapokuwa Tajiri kama alivyo Kinje bado ni binadam kama sisi wengine wote Masikini na kwenye wakati kama huu na yeye anahitaji Support, sijawahi kuchagua Rafiki wa karibu SUPER GADEMU MBURULAZZZ hata siku moja he is my friend and I stand with him kwamba HAUZI MADAWA YA KULEVYA NA KAMA NI KWELI ANAUZA BASI NINAUZA NAYE!!, NINASEMA HIVI KWENYE DAMU YANGU HAKUNA UNAFIKI WALA UOGA WA FISI!!- Le Mutuz




0 comments:

Post a Comment