Wednesday, May 27, 2015

Mbwana Ali Thamata mchezaji taifa stars na klabu ya TP Mazembe nchini Congo amejivunia mafanikio yake katika tasnia ya mpira wa miguu na kusema mara ya mwisho mwaka 2012 kupiga picha na magari ya watu.Hivi sasa anamiliki usafiri wake aina ya range sport.

Mchezaji huyo kabla ya kwenda nje ya nchi alitokea kablu ya Simba baadae kuchukuliwa na tajiri Moses Katumbi mmiliki wa timu hiyo.

0 comments:

Post a Comment