MAHABA MAZITO AMWITA MWENYEKITI WA MAPENZI.
Msanii G Nako toka kundi la weusi dimbwini ndani ya penzi zito na lembebez mkalee Yasinta Juma.G nako kutokana na kuzama huko amekua akimpost mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii na kumsifia.Ni kati ya wasanii wachache sana wa miondoko hiphop walioweka mahusiano yao wazi.
Miaka michache iliyopita ndoa yake ilivunjika na mdada munene mkaleee anayeishi nchi za ughaibuni.Kwa sasa amebaki na mtoto wa kike Samatha wenda mrembo huyo akawa mama wa kambo wa binti huyo.
Mama yoyo kamchanganya mnako 2 nako.




0 comments:
Post a Comment