Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Paul Makonda akimkabidhi Mkurugenzi wa Kituo cha Watoto wetu tanzania Ndugu Evans Tegete Msaada uliotolewa na Uongozi wa Double Tree Hotel .
Kituo cha Watoto wetu Tanzania leo kimepokea Msaada wa Magodoro 80 .Mkuu wa Wilaya Mh Makonda ametaka Uongozi wa Kituo cha Watoto Wetu tanzania Msaada huo Kuwanufaisi watoto wa Kituo hicho na Kuutunzaili uweze kusaidia watu wengi zaidi.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Paul Makonda Katika Picha na Meneja Mkuu wa Double Tree hotel Ndugu Ian Mclachlan (kushoto) Pamoja na Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Hotel ya Double tree Ndugu Florenso Kirambata
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Hotel ya Double tree Ndugu Florenso Kirambata Akieleza jambo wakati Kukabidhi Msaada huo.Ikumbukwe Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Hotel ya Double Ndiye aliyefanikisha Kupatikana kwa Msaada huo Mara baada ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Paul Makonda Alipotembelea Kituo cha Watoto wetu Tanzania na Kujionea Changamoto zilizokuwa zinawakabili watoto hao hao ndipo alipoamua Kumshirikisha Mkurugenzi huo ambaye Ameweza Kuushawishi uongozi wa Hoteli Hiyo kutoa Msaada huo ikiwa ni sehemu Msaada kwajili ya Jamii inayoizunguka Hotel hiyo.
Mkurugenzi wa Kituo cha Watoto wetu tanzania Ndugu Evans Tegete Akitoa Neno la shukrani mara baada ya Kupokea Msaada huo ambapo aliushukuru Uongozi wa Double tree hotel kwa Msaada huo Pamoja na Mkuu wa Wilaya aliyetembelea Kituo hicho na Kujionea Changamoto zinazowakabili.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Paul Makonda Katika Picha na Meneja Mkuu wa Double Tree hotel Ndugu Ian Mclachlan (kushoto) Pamoja na Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Hotel ya Double tree Ndugu Florenso Kirambata
0 comments:
Post a Comment