Saturday, October 3, 2015


@LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:- Kwa sababu Uongozi wa Chadema hawawaamini Makapi waliotokea CCM, wamekataa kata kata kuwaruhusu Makapi kutumia Ofisi yao Makao Makuu Kinondoni badala yake wamefungua Ofisi ya Muda ya UKAWA pale Mediterano Kawe, pale wamempa Lowassa Ofisi, Mbowe Ofisi na Mbatia ni kwa sababu wanajua kwamba ndoa yao ni ya temporary tu kwa ya kutafuta URais, Viongozi wa Chadema wanajua kwamba Urais sio lengo la Chadema isipokuwa kuongeza Wabunge kwa ajili ya Ruzuku kubwa kutoka Serikalini ndio nia na madhumuni yao, lakini kwa vile Wasaka Urais wamekuja na mapesa yao na kutaka kuwaaminisha kwamba wanaweza kuupata Urais, Chadema wamewakubali na kuwapa nafasi wagombanie Urais lakini wasikiguse Chama chao Uchaguzi ukiisha Chadema warudi Kindondoni na Lowassa na wezake waende zao!!
- Lowassa hawajui Chadema na Chadema hawamjui Lowassa, baada ya Uchaguzi tu Lowassa atataka kuwa Mwenyekiti wa Chadema kitu ambacho Mbowe na Mtei will never let him. Utakuwa ndio mwanzo na mwisho wa Ndoa ya Kuusaka Urais, wamemfukuza Dr. Slaa je itakuwa Lowassa? Subiri uone sarakasi litakalozuka baada ya UKAWA kushindwa Urais tarehe 25/October itakuwa ni Cinema ya the Century!
! - le Mutuz Nation

0 comments:

Post a Comment